Mwezeshaji
Beda Msimbe akiendelea kuwanoa wanahabari wamiliki wa mitandao ya
kijamii nchini ambao wanapatiwa mafunzo na TMF.
| Wanahabari wakionyesha kufurahia mafunzo ya uandishi wa mitandaoni leo mjini Dodoma. |
| Mmoja kati ya wawezeshaji wa mafunzo hayo Bw Beda akiwapa mafunzo mzee wa matukio daima kushoto na wamiliki wa blog wengine wakiwa katika darasa la mabloga leo |
| Mwanahabari Brandy Nelson akijitambulisha kabla ya mafunzo hayo ya TMF ambayo bila shaka yataongeza ubora wa blog nchini Tanzania.Na FRANCIS GODWIN BLOG |
No comments:
Post a Comment