Saturday, January 18, 2014

Rais Jakaya Kikwete akutana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Maalim Seif Ikulu jijini Dar es Salaam



Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Viongozi hao wamekutana na kufanya mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 20. (Picha zote na Salmin Said, OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kufanya mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 20.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, wakipiga picha ya kumbukumbu walipokutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kufanya mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 20.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kukutana Ikulu jijini Dar es Salaam leo na kufanya mazungumzo ya faragha kwa zaidi ya dakika 20.

No comments:

Post a Comment