Katibu Mkuu Elimu afungua Mafunzo Kazini kwa Walimu, atembelea shule na vyuo mkoani Mwanza pia atoa Hotuba katika ufunguzi wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome (watatu kutoka kuli) akifungua Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo hayo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba.
Baadhi ya Wawezeshaji na Washiriki wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba.
Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo Kazini kwa Walimu wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA wanaofundisha katika shule za sekondari katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora, Singida, Kagera na Mara. Mafunzo yanafanyika jijini Mwanza katika shule ya sekondari Pamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome katika maabara ya TEHAMA katika shule ya sekondari Pamba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na Watumishi wa Chuo cha Ualimu Butimba mkoani Mwanza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na mmoja wa wanafunzi katika shule ya sekondari Nganza.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sifuni Mchome akizungumza na wanafunzi wa shule ya sekondari Nyakurunduma iliyoko jijini Mwanza ambapo alitembelea shule hiyo kuona ujenzi wa miundombinu (maabara, vyooo, ukarabati wa madarasa na tanki la maji)
No comments:
Post a Comment