Friday, February 14, 2014

SADA MWALIMU AFUNGUA MAFUNZO KWA MADIWANI WANAWAKE WA HAMSHAURI ZA TANGA

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wanawake kutoka halmashauri zote za jiji la Tanga.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Uongozi na Utawala Bora kwa Madiwani wanawake wa Mkoa wa Tanga wakifuatilia mada mbalimbali katika mafunzo hayo yaliyofunguliwa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu Wa Rais -MAZINGIRA, Ummy Mwalimu mkoani Tanga.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wanawake kutoka halmashauri zote za jiji la Tanga.
.Mjubmbe wa TAWODE na Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga, Abdi Makange akizungumza katika mafunzo hayo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendegu akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TAWODE, Fatuma Mganga kwenye mafunzo hayo. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Ummy Mwalimu (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga,Halima Dendego  na Katibu wa CCM mkoa wa Tanga,Gustav Mubba leo wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa madiwani wanawake kutoka halmashauri zote za jiji la Tanga

Mwezeshaji wa mafunzo ya kwa Madiwani wanawake wa Mkoa wa Tanga, Kutoka Kituo cha Utawala bora na Maendeleo ya kiuchumi, Haji Dachi akitoa mada yake. 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Ummy Mwalimu (wapili kulia walioketi)  akipiga picha na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Tanga [pamoja na madiwani wanawake. 

No comments:

Post a Comment