Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa kijiji cha
Nyenge kata ya Kurugongo, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma ikiwa sehemu
ya ziara yake mkoani humo.
Mbunge
wa Viti Maalum, Josephine Gezabuke akihutubia wakazi wa kijiji cha
Nyenge kata ya Kurugongo wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika
kijijini hapo na mgeni wa heshima alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu
Abdulrahman Kinana.
No comments:
Post a Comment