Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB)
(kati) akiwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji
wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland (kulia) na Bw. John
Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya maji aliyeshiriki katika hafla hiyo
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB)
akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo
muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000
International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia
ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na
Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani.
Sehemu ya waalikwa waliohudhuria halfa maalum ya kuchangia
ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na
Taasisi ya Africa 6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
No comments:
Post a Comment