Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Bi. Malika BARAK akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP) alipomtembelea Waziri huyo leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipitia nyaraka zilizowasilishwa na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, Bi. Malika BARAK alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika BARAK (kulia) mara baada ya kupokea nyaraka kutoka kwa balozi huyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akibadilishana mawasiliano na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) akifurahia jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) alipomtembelea ofisini kwake leo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (wa kwanza kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo.
No comments:
Post a Comment