Wednesday, December 7, 2016

Darasa ft ben pol- muziki



. .
  Darassa and Ben Pol release MUZIKI 
the song is all about Music and Life but also is a party song as produced by Three Upper Class Tanzanian Different's Producers Mr. Vs, Abbah and Mr T Touch . This is the second collaboration of Darassa and Ben Pol after four years Since " SIKATI TAMAA "

The Music video was shot in Tanzania as Directed By Hanscana

LYRICS

Wameota mapembe waongezee mkia na ukinibeep nakupigia
let me make one thing clear, blah blah blah sitaki kusikia
sio simba,sio chui sio mamba  sauti yangu inatosha kujigamba
na sina maneno kwenye kanga kazi juu ya kazi yaani Bumper to Bumper

mzaa unaweza kuzaa kizaazaa si eti unafegi uchome kibada
ulale uote ndoto zako za kitanda, sisi bado tuko macho mida ya wanga
funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga ,tunasemanga chambua kama karanga

maisha na muzuki acha maneno weka muziki
chuga unachopenda na ukitaka kucheza cheza muziki
bambata, shika kamata, kumba shakata
ako kamchezo shadata shadata aaaah

unataka kukimbia na hauna break, what do you expect 
bongo congo upata break cheza lukasa ya bongo uwezi kumake
watch yourself usije ukajiconfuse msupa wa kuruka reggae kwenye blues
una mchuuzi no excuse, maisha yetu ya kila siku kama vile movie
vitu zingine havitangagi ujuaji utajikuta unatandikia wati chamvi
kusubiria embe chini ya mnazi ,kumwelewesha chizi utajipa kazi
funga mkanda kaza na kamba ama ufuate nyayo uchane msamba
pasua miamba pasua anga ,tunasemanga chambua kama karanga


maisha na muzuki acha maneno weka muziki
ukiwa sad, ukiwa up ukiwa juu ukiwa chini piga muziki
safari na muziki,acha maneno weka muziki
kibao unachopenda na ukitaka cheza muziki

wanatamani tupotee kwenye map,tunapeleka game kwenye top top
ishara tosha we dont stop stop dont stop, we dont stop X2 a

No comments:

Post a Comment