Saturday, October 25, 2025

RAILA ODINGA JUNIOR AKABIDHIWA MIKOBA YA BABA YAKE

Kisumu, Kenya — 


Raila Odinga Junior ametambuliwa rasmi kama kiongozi mpya wa familia ya Jaramogi Oginga Odinga. Sherehe ya kitamaduni ya ‘liedo’, ikijumuisha nyimbo, ngoma za kienyeji na kunyoa nywele, ilifanyika nyumbani kwao Opoda kabla ya msafara kuelekea Kango ka Jaramogi.


Mheshimiwa Ruth Odinga, Mbunge wa Kaunti ya Kisumu (Woman Representative), alisema:


"Leo ni siku ya kumbukumbu na mwanzo mpya. Tunamuombea Junior hekima, ujasiri na uthabiti katika jukumu hili la kifamilia."


Tukio hili linathibitisha mwendelezo wa kizazi na heshima ya urithi wa familia ya Odinga, ukiwa na mshikamano wa kifamilia na jamii




















 

No comments:

Post a Comment