Wakaazi wa kabila la watutsi wanaoishi katika mji wa Kitsanga wameanza kuyahama makaazi yao.
Wakati mapigano yakiendelea baina ya waasi wa M23 na jeshi la serikali
katika Jamhuri ya demokrasia ya Congo, wakaazi wa kabila la watutsi
wanaoishi katika mji mdogo wa Kitsanga wameanza kuyahama makaazi yao
wakihofia hujuma zinazopangwa dhidi yao na waasi wa kihutu wa Rwanda wa
FDLR walioko kwenye viunga vya mji huo
No comments:
Post a Comment