Mkutano wa Kimataifa kuhusu Somalia uliendelea kwa siku ya pili
Ijumaa Mjini Instanbul, Uturuki kujadili changamoto za kisiasa na
kiuchumi zinazoikabili nchini hiyo ikiwa ni pamoja na muda wa mwisho wa
serikali ya mpito.
Katika taarifa yake iliyojaa matumaini aliyoisoma mbele ya mamia ya Wasomali na wajumbe kutoka kona mbalimbali duniani waliohudhuria mkutano huo, Waziri Mkuu huyo alisema Somalia ina mambo mengi mazuri kuliko uharamia, wanamgambo na njaa, na kuongeza kuwa Wasomali wanaweza kuifundisha dunia mambo kadhaa kuhusu uthabiti.
No comments:
Post a Comment