Kaimu
Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu( Kulia )
akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof.
Mark Mwandosya wakati alipotembelea makao makuu ya Mamlaka hiyo jijini
Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli zinazofanywa na
TCAA.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya akikabidhiwa
Nyaraka ya Sheria ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga TCAA na Kaimu Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka hiyo Dk. James Diu , wakati alipofanya ziara ya kikazi
Makao Makuu ya ofisi hiyo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kujifunza
na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa hapo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum , Prof Mark Mwandosya, akisisitiza
jambo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) wakati alipokutana na Uongozi wa Mamlaka hiyo jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa
Anga(TCAA) Dk. james Diu.
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Kiusalama wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA), akifafanua wakati wa ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi
Maalum, Prof. Mark Mwandosya Makao Makuu ya TCAA jijijni Dar es Salaam.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akimsikiliza
kwa makini Mkurugenzi wa Huduma za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA)Rubeni Ruhongore wakati alipokuwa akimuelezea shughuli
zinazofanywa na TCAA wakati Waziri huyo alitembelea Makao Mkuu ya
Mamlaka hiyo kwa ajili ya ziara ya kujionea shughuli zinazofanywa na
Mamlaka hiyo.
Meneja
Mahusiano wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini
–(SUMATRA) David Mziray akifafanua jambo wakati wa ziara ya Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya TCAA makao makuu.
Kaimu
Mkurugenzi Mkuu , Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA) Dk. james Diu(
Kushoto)akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Prof. Mark Mwandosya
mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi makao makuu ya Mamlaka hiyo
jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kujionea shughuli mbambali
zinazofanywa na TCAA. Kulia anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Huduma za
Mamlaka ya TCAA, Rubeni Ruhongore.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi Maalum, Prof. Mark Mwandosya akiwa katika
picha ya pamoja na viongozi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania
(TCAA) na Mamlaka zingine za Udhibiti Nchini wakati alipotembelea Makao
Makuu ya TCAA, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment