Gentriez&NiggaC. |
Hentriez mwakitabu ni msanii wa Hip-Hop kutoka kundi la River Camp Soldiers jijini Arusha.
HISTORIA YAKE
Alianza
mziki mwaka 2003 kupitia talent shows na free stage hasa zile za
Via-Via.
2008 aliingia studio na kurecordi wimbo wake wa kwanza uliokua
unaitwa Mandamano Ya Haki ambao hauku fanikiwa kufanya vizuri,then 2011
hapo ndipo nyota yake kidogo ilipoanza kuonekana baada yakuachia
.
uliofanya vizuri kuanzia mtaani hadi kwenye radio statiotion tofauti.
Pia wimbo huo ulikuja na mafanikio kadhaa kama, alipatiwa jina la Arusha
boy pia akafanikiwa kufungua clothing line ya Arusha boy clothing line
chini ya Wanene Entertainment..
and now 2012 ameachia wimbo wake
mwingine unakwenda kwa jina la NNA
KILA SABABU aliomshirikisha msanii mwingine kutoka kundi la Jambo Squad
Chalii Mtoto Wa Bibi au Nigga C..
humo ndani utaskia michano mikali
kama NAOTA MABAWA KWENYE MV BUKOBA KISHA NAPAA nakadhalika..
Watu
wakae tayari kwa ujio wa video ya wimbo huo itakayo toka hivi
karibuni.. Pia unaweza kuskiliza na kudownload bure nyimbo kibao zake
zote alizowahi kuzifanya ONLINE kupitia:
Gentriez mwakitabu mpaka sasa ameshaafanya kazi na wasanii wakubwa kama NAKAYA,G,NAKO,BONTA,[
Gentriez
Mwakitabu yuko chini ya RECORD LEBEL YA WANENE ENTERTAINMENT iliko
jijini Arusha inayo milikiwa na founder and C.E.O Darsh Pandit.
No comments:
Post a Comment