RUKIA ABDALHA ni mtoto wa miaka miwili anayeishiWilayani RUANGWA
mkoani LINDI aliungua maji ya moto,akapelekwa hospitali ya wilaya
RUANGWA ambako alipata huduma ya kwanza na kushauriwa aende
NDANDA,NYANGAO au MUHIMBILI.Wazazi wa RUKIA hawana uwezo kifedha
kumfikisha ktk hospitali hizo,wanazidi kumuuguza mtoto huyo kienyeji
nyumbani kwao na sasa mtoto huyo anatoa harufu kali......Kwa niaba ya
Familia Mimi Abdulaziz Ahmeid,,,,wa Lindi Press Club na Mwandishi wa
Channel ten Mkoa wa Lindi natumia fursa hii kumuombea mtoto huyu ili
asaidiwe kupatiwa Matibabu ya Haraka kunusuru Maisha yake..
WADAU MBALIMBALI,WABUNGE,TAASISI NA WENGINEO MSAIDIENI MTOTO HUYU AKATIBIWE
Kwa hisani ya Mdau ABDULAZIZ VIDEO ,LINDI

ILI KUMFIKIA MTOTO HUYO WASILANA NA MWENYEKITI WA LINDI PRESS CLUB
NDG ABDULAZIZ......0787176221 AU 0716483532

No comments:
Post a Comment