Saturday, June 2, 2012

NOELA MICHAEL NDIYE READD'S MISS TABATA 2012

Hii ni baada ya kinyang'anyiro hicho kufanyika jana pale Tabata

 Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupi baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar. Tano Bora. Kumi Bora. Washiriki Wote wakipita kwenye steji.
Warembo waliofanikiwa kuingia tano Bora wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kutangazwa kwa mshindi wa shindano hilo usiku wa kuamkia leo.
(Picha kwa hisani ya Michuziblog.)

No comments:

Post a Comment