Friday, June 29, 2012

Redds Miss Ubungo show ndio hiyoooo!!



 Kama Irine Uwoya lakini No huyu ni Irine Sizari....
 Warembo wa Miss Ubungo 2012 wakipita jukwaani na kivazi cha ufukweni wakati wa fainali ya shindano hilo Linaloendelea hivi sasa katika ukumbi wa Land Mark Hotel Riverside Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Walimbwende wakicheza show ya ufunguzi ya Miss Ubungo 2012.
 Warembo wakijinadi jukwaani na kivazi cha ubunifu.
 Meza ya Kamati ya Miss Tanzania ikiongozwa na Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga (wapili kulia) na Kushoto ni Mkuu wa itifaki ya Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye.
Majaji wa Shindano hili wakiongozwa na Christina Manongi 'Sinta'.

No comments:

Post a Comment