Wednesday, June 27, 2012

R.i.p Aida Mtei kamanda wa Uvccm Kibaha Vijijini




Kamanda wa UVCCM, Kibaha Vijijini mkoa wa Pwani, Aida Mtei (pichani) amefariki dunia. Mipango ya Mazishi inafanyika Nyumbani kwa wazazi wake Mbezi kabla ya Rembow.

Blog hii inaungana na Ndugu, Jamaa, Marafiki, na Wanachama wote wa Chama cha Mapunduzi Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kibaha na Taifa kwa ujumla kwa Msiba huu mzito.


habari kwa hisani ya father kidevu blog

No comments:

Post a Comment