Baadhi ya wasafiri waliookolewa katika ajali hiyo.
(Picha kwa hisani ya http://zanzibaryetu.wordpress.com/)
Watu 145 walionusurika katika ajali hiyo wameokolewa wakati watu 120 wakiwa bado hawajapatikana mpaka mwisho wa zoezi la uokoaji…ambalo lilisitishwa jana mara baada ya giza kuingia ,meli hiyo ilikuwa na abiria 250 watoto wakiwa ni 31 mabaharia 9 jumala ya watu wote kwenye kwenye meli hiyo ni 290 ,
Chanzo cha ajali hiyo ni dhuruba kali iliyoikumba meli hiyo ilikuwa inatoka Dar kwenda Zanzibar na zoezi la uokoaji litaendelea leo.