Mkuu wa baraza la jeshi la Misri
lenye nguvu, inaonesha anazidisha mvutano katika mashindano yake na
chama cha Muslim Brotherhood.
Maneno yake yanaonekana kulenga chama cha Muslim Brotherhood cha Rais Mohammed Mursi.
Bwana Tantawi alisema hayo punde baada ya kukutana na Waziri wa Mashauri ya Nchi za Nje wa Marekani, Hillary Clinton, ambaye alilisisitiza kuwa kipindi cha mpito cha Misri kielekeze nchi kwenye uongozi wa kiraia.
No comments:
Post a Comment