Na hii ni story ya mporipori,Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa,Sanawari kwenye mataa anabaki ameduwaa" ndio maneno ya Jambo Squad katika wimbo wao mpya ya "Mporipori" ilosukwa pande za noizmekah.com chini ya defxtro,Ikiwa ni official release yetu sambamba na Jogoo Kichaa baada ya Mamong'oo,Tunawapa gwara fans wetu wote kwa support wanayotuonesha kuchagua tracks zetu radio na clubs zote around East Africa,Much love Kwa media zinazotupa shavu.Holla 0563610249 for Bookings/Interviews/Projects.One Love
Friday, August 31, 2012
Jambo Squad aka Mamong'oo waja tena
Na hii ni story ya mporipori,Mianzini kwenye mataa anabaki ameshangaa,Sanawari kwenye mataa anabaki ameduwaa" ndio maneno ya Jambo Squad katika wimbo wao mpya ya "Mporipori" ilosukwa pande za noizmekah.com chini ya defxtro,Ikiwa ni official release yetu sambamba na Jogoo Kichaa baada ya Mamong'oo,Tunawapa gwara fans wetu wote kwa support wanayotuonesha kuchagua tracks zetu radio na clubs zote around East Africa,Much love Kwa media zinazotupa shavu.Holla 0563610249 for Bookings/Interviews/Projects.One Love
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment