Baba alisema nipige moyo konde,Nichek mbele sio nyuma nlikotoka na round nyingine kaskazini inawakilisha katika game ikiwa ni beat kali toka wanene ent kwa mzee mzima Darsh Pandit ikiwa na vocals za KiwaStrong na Banx, Kiwa ni Mc wa hiphop anayekupa white namna gani anasakanya maisha na pesa kama kabila la wachaga, Vocals zikiwa zimesimamiwa noizmekah.com chini ya defxtro likipewa jina la Mchaga Na Pesa alomshirikisha banx katika chorus.Holla 0787192024 for interviews/Bookings/Projects Enjoy kaskazini music and support hiphop! |
Friday, August 31, 2012
Kiwa Strong Na Banx katika Mchaga Na Pesa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment