Friday, August 31, 2012

Watundu Squad Juu ya Beat ya Wanene Ent Arusha,


Watundu Squad,Kundi la madogo watundu wa kurap Juu ya Beat za Wanene Ent Arusha akiwepo Dogo Tundu pamoja na YungSoja
wanaonyesha uwezo katika pini hili Chalii ya ara ikiwa ni kwa hisani kubwa na udhamini wa Vatoloco Soldiers baada ya madogo kupewa nafasi katika summer jam concert pale Stadium Arusha wakati wa show ya StopaRhymes,FidoVato ameonyesha support kubwa kwa kutuwezesha kupiga track pande za noizmekah.com kwa defxtro so hii ni kwa ajili ya mashabiki zetu wote wa hiphop tunakuja kwa spidi ya risasi




No comments:

Post a Comment