Waandishi
wa vyombo mbalimbali vya Habari jijini Dares Salaam wakiandamana
kimyakimya kuelekea viwana vya Jangwani ikiwa ni hatua ya kuonyesha
hisiazao za kupinga mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi dhidi ya
raia.
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania,Nevil Meena akitoa muongozo wa njia ya kupita wakati wa Maandamano hayo leo.
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania,Nevil Meena akitoa Tamko.
Tamko lililotolewa na Katibu wa Jukwaa la Wahariri Nevil Meena, kuhusu maandamano hayo,
"Kunawatu
wanahoji tunaandamana alafu iweje wakati siye ndio wenye vyombo vya
habari si tuandike tu? Hapana kuandamana kwetu kunamaana sana
tumeandamana sikama hatuna uwezo wakufanya kitu zaidi ya kuandamana,
tunazo silaha kubwa zaidi ya maandamano lakini hii ni hatuayapili baada
ya matamko mbalimbali kutolewa.
Aidha
meena akahoji hivyo inakuaje kama sikumoja watu wakaamka wakakuta
hakuna chombo chochote cha habari kilicho hewani hakuna tv, hakuna radio
na wala hakuna magazeti nchi hii itakuwaje?
Wanahabari waendelee kuwa na utulivu hatua mbalimbali zitakazoendelea kuchukuliwa watafahamishwa kuhusiana na tukio hilo."
Vingozi
wengi wa vyama vya waandishi wa habari waliotoa maoni yao kwenye
mkusanyiko huo waliitaka serikali wachukue hatua na damu ya Mwangosi
iwes shule kwao.
Mhariri Mtendaji wa Channel Ten,Dinah Chahali akizungumza.
Waandishi
wa vyombo mbalimbali vya Habari jijini Dares Salaam wakiandamana
kimyakimya kuelekea viwana vya Jangwani ikiwa ni hatua ya kuonyesha
hisiazao za kupinga mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi dhidi ya
raia.
Waandishi
wakiigiza tukio la mauaji ya Daudi Mwangosi namna lilivyotokea huko
Iringa wakati wa maandamanoyao yalioanzia kwenye ofisi za Chanel ten
hadi jangwani leo asubuhi.
Wazee wa Feva nao hawakua nyuma kufatilia Maandamano hayo.
Mwandishi
wa habari na mhariri Manyerere Jackton, akizungumza mbele ya waandishi
wa habari wenzake na kutoa maoni na ushauri wa nini chakufanya.
No comments:
Post a Comment