Kichwa
cha treni pamoja na mabehewa sita ya awamu ya kwanza, yakisubiri
kufanyiwa majaribio kwa Safari zitazoanzia Station Dar es Salaam mpaka
Ubungo mnamo mwezi wa kumi, majaribia hayo yameongozwa asubuhi ya leo
na Naibu Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Dk Charles Tizeba (Mb) ambaye alipanda
treni hiyo kuanzia Station Dar es Salaam Mpaka Ubungo.Serikali
imetumia kiasi cha Sh. Bil 4.75 kwa ajili ya ukarabati wa njia, injini
na mabehewa. (picha: Raha za Pwani Blog)
Naibu
Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Charles Tizeba (Mb) dirisha la pili
kutoka kulia, akiangalia nje wakati wa majaribio ya mabehewa sita kati
ya kumi na mbili yatakayofanya safari zake kutoka Station mpaka Ubungo
kuanzia mwezi wa Kumi mwaka huu,Treni hizo zitasaidia wananchi katika
usafiri jijini Dar es Salaam. (picha: Raha za Pwani Blog)
No comments:
Post a Comment