Tuesday, February 12, 2013

SHUKRANI KWA KUFANYA BLOG YA HAAZU KUTEMBELEWA NA WATU 50,000 KWA MUDA MCHACHE TANGU IANZE KUFANYA KAZI MWISHONI MWA MWAKA JANA





WEWE KAMA MDAU MKUBWA WA HAAZU BLOG INAYOMILIKIWA NA KUENDESHWA NA MTANGAZAJI WA MAMBO JAMBO RADIO ARUSHA DJ HAAZU, ANAKUSHUKURU KWA KUITEMBELEA BLOG HII NA KUISUPPORT KWA HALI NA SHUKRANI ZA DHATI KWA WEWE ULIYEITEMBELEA HADI KUFIKIA IDADI YA WATU 5O,000 KWA MUDA WA MIEZI MICHACHE TANGU IANZISHWE MWISHONE MWA MWAKA 2012 NA ANAKUOMBA UENDELEE KUITEMBELEA BLOG HIYO KWA KUTUMIA LINK HII www.haazu.blogspot.com

www.haazu.blogspot.com NYUMBA YA BURUDANI NA HABARI

No comments:

Post a Comment