G-Hood na Defxtro
Anaitwa G-Hood toka Arusha,Newcomer aliyeanza harakati za kurekodi mwaka huu, na zaidi ni rapper anayefanya zaidi muziki wa crunk na pia Trap..Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha defxtro katika chorus ya wimbo huu
No comments:
Post a Comment