Toka kundi la Northdwellers lenye maskani yake Arusha Makao Mapya aka Magoroo mpaka ndani ya studio za Noizmekah Productions kwa Defxtro,anakuja Kichomi Dax, na ngoma ya "Salute U" Hiphop joint special kwa wanadada mashabiki wa Hiphop na Real G Lifestyle,
No comments:
Post a Comment