Saturday, June 29, 2013

CBE WAFANYA WARSHA KWA WAKUFUNZI

Wakufunzi wa CBE Waikiwa katika picha ya pamoja na Dr Tim Hulton, consultant ( wa pili kutoka Julia) na mwenye tai katikati ni mkuu wa chuo cha CBE  proffesor Emmanuel Mjema

Wakufunzi wa CBE Waikiwa katika wakijadiliana  katika makundi  pamoja na waajiri  kujua  jinsi gani watahiniwa watawezeshwa  kupatiwa mafunzo  yatakayoendana na na hitaji la soko la ajira katika   warsha iliyofanyika leo jiji Dar es salaam

KATIKA KUHAKIKISHA KUWA WANAVYUO WANAO MALIZA KATIKA CHUO CHA BIASHARA CBE WANAPATA AJIRA BILA USUMBUFU , KWA KUTIMIZA VIGEZO VYA MWAJIRI CHUO  KIMEBUNI MBINU` YA KUPATA  TAARIFA ZA MREJESHO  WA MAENDELEO YA MWANACHUO  ILI KUBAINI MAPUNGUFU NA MAHITAJI YA MWAJIRI  ILI  KUBORESHA NA KUPUNGUZA WANAVYUO WANAOMALIZA  VYUO NA KUKOSA AJIRA NCHINI KWA KUKOSA  SIFA YA UJUZI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

AKIFUNGUA WARSHA ILIYOWAHUSISHA  WAKUFUNZI  PAMOJA NA WAAJIRI  KUTOKA SEHEMU TOFAUTI HAPA NCHINI , PROFESSA  EMMANUEL MJEMA AMESEMA ,CHUO CHA CBE  KIMEBUNI MBINU HIYO ILI KUINUA KIWANGO  CHA WANAVYUO WANAOPATA AJIRA KUTOKA SHULENI HAPO  NA KUHAKIKISHA KUWA WANAVYUO WANAOMALIZA KATIKA CHUO HICHO WANAPATA AJIRA ZA UHAKIKA KATIKA SOKO LA AJIRA

 PROFESA MJEMA AMESEMA ILI KUFIKIA  VIWANGO VINAVYOHITAJIKA  NA SOKO LA AJIRA LA DUNIA   NI LAZIMA WAKUFUNZI KUJUA  WAAJIRI WANAHITAJIJ NINI, ILI WAHITIMU  KUWEZA KUPATA AJIRA KATIKA MAKAMPUNI YAO  PINDI WAMALIZAPO MAFUNZO  ,PIA NI VIZURI KAMA  WAAJIRI WATATOA  MIONGOZO YAO  AU MITAZAMO YAO PAMOJA NA  TECHNOLOJIA WANAZOTUMIA HUKO KATIKA MAENEO YA KAZI ILI WAKUFUNZI KUZIJUA NA KUWAFUNDISHA WANAVYUO  WAWEZE  KUJIFUNZA NA PINDI WAMALIZAPO KIPINDI CHA MAFUNZO YA DARASANI NA  YA VITENDO WAWE NA UJUZI STAHILI  UNAOHITAJIKA  KATIKA SOKO LA AJIRA

TANZANIA NI KATI YA NCHI ZINAZOSUMBULIWA NA TATIZO LA WANAVYUO KUWA NA ELIMU YA DARASANI BILA KUWA NA  ELIMU YA UJUNZI  WA KUFANYA KAZI HIVYO CBE KWA KUFAHAM HILO NDIO SABABU  YA KUANZISHA KWA MKAKATI HUU AMBAO  KAMA UTAPATA USHIRIKIANO MZURI KUTOKA KWA WAAJIRI BASI TATIZO LA WANAVYUO KUTOKA BILA UJUZI LITAKUWA LIMEFUTIKA KATIKA CHUO CHA BIASHARA CBE.

 PROFESA MJEMA AMETOA WITO KWA WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE NA KUPATA PRINCIPLE 2 WASISITE KUOMBA KUJIUNGA NA CHUO HICHO KWANI WANA MAFUNZO MAALUM AMBAYO YATAMWEZESHA MWANACHUO KUWEZA KUENDELEA NA NA NGAZI YA CHETI ,DIPLOMA NA NGAZI NYINGINE KUBWA BAADA YA MUDA MFUPI WA MAFUNZO MAALUM.

HATA HIVYO MKUU WA CHUO HAKUSAHAU KUWAALIKA WANAFUNZI WALIOMALIZA  KIDATO CHA SITA KUJIUNGA NA CHUO CHA BIASHARA CBE KWANI NAFASI BADO ZIPO NA PIA WANAMITAALA MADHUBUTI YA KUFUNDISHIA

No comments:

Post a Comment