Baba mdogo wa Marehemu amesema “Dokta wa Muhimbili ambae alikua anamtibu Langa mpaka dakika ya mwisho ametuambia Langa amekufa kutokana na Malaria, alikua na Malaria point 7 na mwisho ikabadilika na kupanda kichwani.
‘Mama yake alikua amekwenda Marekani kwa shughuli zake na anatarajiwa kurudi muda wowote kutoka sasa’ – Baba Mdogo
No comments:
Post a Comment