Wednesday, June 26, 2013

Makamu wa Rais, Dk. Gharib Bilal ampokea Mfalme Mswati aliyetua nchini kuhudhuria mkutano wa 'Smart Patnership', Juni 28

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Mfalme Mswati wa II wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa II, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smart Patnership', unaotarajiwa kuanza Juni 28 mwaka huu. (Picha zote na OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati II, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa II, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership', unaotarajiwa kuanza Juni 28 mwaka huu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati II, mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo, Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Patnership', unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati.

No comments:

Post a Comment