Monday, June 17, 2013

TAARIFA KAMILI KUHUSU UVUMI KUWA NASARI AMEKATWA NA MAPANGA HUKO MONDULI


NASSARI
Kuna habari za kizushi zilizoenea Leo Arusha Kuwa Mbunge wa arumeru Mashariki Joshua Nasari amekatwa na Mapanga huko katika kata ya Makuyuni Monduli.


Taarifa hiyo ilikuwa ya kizushi na Hii ni Taarifa ya OKINDA OCD Wilayani Monduli Tukiongea naye Baada ya Uvumi huo ambapo yeye kaelezea tukio hilo na kusema kuwa Nassari yuko Salama na kwamba hakuna Vurugu inayoendelea japo kulitokea kuto kuelewana ila hakuna aliyeumizwa kutokana na hilo

MSIKILIZE OCD OKINDA AKIZUNGUMZA NASI

No comments:

Post a Comment