Friday, June 7, 2013

TIGO NA CLOUDS MEDIA GROUP YA DHAMININ MASHINDANO YA MASHAUA YATAKAYOFANYIKA JUMAPILI TAREHE 9 MSASANI BAY

Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chalukulu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mashindano ya Mashua yatakayofanyika Juni 9, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo, yamedhaminiwa na Kampuni za Simu za mkononi ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds FM. Kulia ni mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua (TSAA), ambaye ni bingwa wa mashindano hayo, Mwambao Jumbe, ambaye atashiriki mashindano hayo, Ofisa Masoko wa Clouds media group Simalenga Simon (wa pili kulia), Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo, kuhusu mashindano ya mashua yatakayofanyika kwenye Bahari ya Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu.
Maofisa wa Kampuni ya Tigo wakiwa katika mkutano huo jijini leo.kushoto ni Hellen na kulia ni Ester.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari. akiongea na waandishi wa habari, kuhusu
mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na chama hicho, ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds
media group , Dar es Salaam  . Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga na kulia ni Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chalukulu.
Ofisa Masoko wa Cloudsmedia group , Simalenga Simon (kulia), akiongea na waandishi wa habari, kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania 
(TSAA), ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Cloudsmedia group , Dar es Salaam  . Mashindano hayo, yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto 
ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari 
(wa pili) na wa pili kulia ni Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chalukulu.

Baadhi ya waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo wakiandika habari hizo.
Ofisa Masoko wa media group , Simalenga Simon (kulia), akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na waandishi wa habari, kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), ambayo 
yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds media group , Dar es Salaam  . Mashindano hayo, yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Makamu mwenyekiti
wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari na katikati ni Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo 
la Taifa (BMT), John Chalukulu. 


Ofisa Masoko wa media group , Simalenga Simon (kulia), akiongea na waandishi wa habari, kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na 
Cloudsmedia group , Dar es Salaam leo. Mashindano hayo, yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari (wa pili) na Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo 
la Taifa (BMT), John Chalukulu.

Mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua Tanzania, ambaye anaongoza kwa ubora nchini, Mwambao Jumbe 
akiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wake katika mashindano ya mashua, ambayo yamedhaminiwa na 
Makampuni ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds media group ya  Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.


Mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua Tanzania, ambaye anaongoza kwa ubora nchini, Mwambao Jumbe 
akiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wake katika mashindano ya mashua, ambayo yamedhaminiwa na 
Makampuni ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds media  group ya  Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.


Mmoja wa wanachama wa Chama cha Mashua Tanzania, 
ambaye anaongoza kwa ubora nchini, Mwambao Jumbe akiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wakekatika mashindano ya mashua, ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds media group ya  Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika  Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.


Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akiongea na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya mashua 
yaliyoandaliwa na chama cha Mashua Tanzania (TSAA), ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds 
FM, Dar es Salaam. Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Ofisa Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon.


Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga, akiongea na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya mashua
yaliyoandaliwa na chama cha Mashua Tanzania (TSAA), na Makampuni ya Tigo na Clouds FM, Dar es Salaam.Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu. Kushoto ni Ofisa
Masoko wa Clouds FM, Simalenga Simon.
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua Tanzania (TSAA), Gudran Leirvaag, akiongea na waandishi wa habari kuhusu mashindano ya mashua yaliyoandaliwa na chama hicho ambayo yamedhaminiwa na Makampuni ya Tigo na Clouds FM, Dar es Salaam leo. Mashindano hayo yatafanyika Msasani Bay, jijini Dar es Salaam Juni 9, mwaka huu jijini. Wa pili kushoto ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.
Ofisa Michezo Mwandamizi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), John Chalukulu, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu mashindano ya Mashua Yatakayofanyika Juni 9, jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo, yamedhaminiwa na Kampuni za Simu za mkononi ya Tigo, kupitia huduma yake ya Tigo Pesa na Clouds FM. Kulia ni Ofisa Masoko wa Clouds  media group , Simalenga Simon, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mashua (TSAA), Philimon Nassari(wa kwanza kushoto) na wa pili ni Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga.

Picha zote na Kassim 
Mbarouk wa bayana.blogspot)

Tigo imeamua kudhamini mashindano h aya kwa kutambua umuhimu wa michezo na mashindano katika jamii na taifa na lengo kuu ni kuunga mkono  kipindi cha radio cha clouds fm cha made in Tanzania ,mashua ni  nyenzo  inayotengenezwa kwa malighafi zote kutoka hapa Tanzania na ndio hapo  tunapofikia kuwa tigo  wameamua kudhamini kitu halisi cha kitanzania katika kudumisha Utanzania kwa bidhaa ya kitanzania  kwa huduma yake ya  tigo pesa ambayo ina kuwezesha kununua na kuuza chochote kile kwa kutumia huduma ya tigo pesa.

kwa fursa hii tigo  inamhakikishia mtanzania  mambo mazuri  katika mashindano hayo siku jumapili pela msasani bay na kuwataka watanzania kuja  kujionea mashindano ya  kitanzania na kujivunia utanzania .

Clouds media wamedhamini mashindano ya mashua kwa kutoa majahazi 20 amabyo wamenunua mapya  na pia wameahidi  kutoa zawadi ya laki tatu  kwa mshindi wa ,laki mbili kwa mshindi wa pili na laki moja  kwa mshindi wa tatu pamoja na hayo kila mshiriki atapata kifuta jasho cha shilingi elfu hamsini  kila mmoja .




No comments:

Post a Comment