Sunday, June 23, 2013

uzinduzi wa ziara ya Kili Music 2013 Dodoma


 Jioniya jana  ilizinduliwa ziara ya muziki ya Kilimanjaro, inayoendeshwa na kampuni ya bia ya TBL kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Premium Lager, katika viwanja vya Jamhuri mkoani Dodoma, je ungependa kuona matukio?
..twende sasa...
 Aliyefungua onesho alikuwa Linex Sunday Mjeda
 Jamaa huwa anaimba kwa hisia kali sana
 ...aga...
 Kazi sasa...
 Ben Pol
 Kwa kuzikata huyu nae...
 Nyomi bado liko pale pale...
 Kulikuwa na mtiti balaa, mtu kibao si unajua zile?
 Kidume cha Hip Hop Tanzania kwa mujibu wa tunzo za Kili 2013 Kala Jeremiah..
 Hip Hop swagg
 Deejay Choka
 Roma Mkatoliki naye
 ..mistari tu...
 ShowLove ya Jide na Irene Kiwia
 Jide sasa..
 Prof Jizzle!
 Mzuka wa Joto hasira
Mzuka wa Profesa ulikuwa si wa kawaida jioni ya jana
...na show  iyooooo...
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Linex, akishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Kilimanjaro Tanzania Music Tour, 'Kwetu ni Kwetu', 
 Ommy Dimpoz, akishambulia jukwaa...
 Ben Paul, akifunika baada ya kuimba baadhi ya bibao vyake jukwaani.
 Msanii wa Hip Hop, Kala Jeremier, akiwarusha mashabiki wake kwa mistari....
 Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, akiwarusha mashabiki wake kwa mistari....
Shabiki mwanadada aliyepagawa na miondoko ya Bongo Flava, akiwa na Bukta baada ya kuvua suruali yake na viatu (kushoto kwake chini) huku akisebeneka na miondoko iliyokuwa ikirindima jukwaani

No comments:

Post a Comment