Monday, July 8, 2013

Shilole akonga nyoyo za mashabiki Tamasha la miaka 3 la Utamaduni wa Kiswahili nchini Marekani



Shilole na Masanja wakipagawisha wadau wa Kiswahili kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Kiswahili Marekani.
Shilole akicheza na Salha kwenye moja ya nyimbo zake alizopagawisha kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo iliyofanyika Jumamosi July 6, 2013.
Shilole akizidi kuwasha moto.
Ulikuwa ni usiku wa Vijimambo kuandika historia mpya.

Dj Luke (kushoto) katika picha ya pamoja na Afisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mindi Kasiga (kati) na mwenyekiti wa kamati Baraka Daudi.
Meza waliyokaa Kaimu Balozi Mama Lily Munanka baadhi ya wageni walikuja na masafara wa Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi wakibadilishana mawazo huku wakicheka kwenye usiku wa sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la Kiswahili Marekani lilofanyika Jumamosi July 6, 2013.
Ofisa Ubalozi Suleiman Saleh pamoja na mkewe (kushoto) katika picha ya pamoja na Tina Magembe.
Ofisa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na mkwewe katika pivha ya pamoja na Kulwa (kati) kutoka North Carolina aliyekuja kwenye sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo na tamasha la utamaduni wa Kiswahili kama muakilishi wa DICOTA.

HABARI KWA HISANI YA BAYANA BLOG

No comments:

Post a Comment