Monday, October 14, 2013

PICHA MBALI MBALI ZA KIKWETE ALIPOFIKA UWANJA WA NDEGE IORINGI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 14 TANGU KUTOKEA KWA KIFO CHA MUASISI WA TAIFA HILI HAYTI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE



Taswira mbalimbali za Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili uwanja wa ndege wa Nduli mjini Iringa alikokwenda kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere na Wiki ya Vijana zitazofanyika leo Jumatatu Oktoba 14, 2013 katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Samora. Mamia ya wananchi wa Iringa wakiwemo viongozi na wanachama wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na vikundi vya ngoma za utamaduni walijitokeza kumlaki Rais Kikwete atakayekuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment