Thursday, November 21, 2013

Miss Ilala 2013, Dorice Mollel apokea msaada wa vitabu na kisha kuvigawa kwa Shule ya Msingi Ukonga katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani


Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kulia), akikabidhiwa moja ya vitabu 132, mbalimbali na Mhariri wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew, Dar es Salaam jana. Mrembo huyo,  baadaye alikwenda kukabidhi msaada huo wa vitabu alivyopewa na kampuni hiyo kwa Shule ya Msingi ya Ukonga, Dar es Salaam, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akikifurahia kitabu hicho, huku akielezwa jambo na Mhariri wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew, wakati wa makabidhiano ya msaada huo, Dar es Salaam jana. Mrembo huyo,  baadaye alikwenda kukabidhi msaada huo wa vitabu alivyopewa na kampuni hiyo, kwa Shule ya Msingi ya Ukonga, Dar es Salaam, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani.
Mhariri wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew (kulia), akimkabidhi Miss Ilala 2013, Dorice Mollel baadhi ya vitabu 132, mbalimbali, Dar es Salaam jana. Mrembo huyo, baadaye alikwenda kukabidhi msaada huo, wa vitabu alivyopewa na kampuni hiyo kwa Shule ya Msingi ya Ukonga, Dar es Salaam, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani jijini jana.
Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akivifurahia vitabu hivyo, huku akielezwa jambo na Mhariri wa Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew, wakati wa makabidhiano ya msaada huo, Dar es Salaam jana. Mrembo huyo,  baadaye alikwenda kukabidhi msaada huo wa vitabu alivyopewa na kampuni hiyo, kwa Shule ya Msingi ya Ukonga, Dar es Salaam jana hiyo hiyo, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Watoto Duniani.
'Ninakukabidhi vitabu hivi kwa faida ya Taifa letu', ndivyo alivyokuwa akielekea kusema Mhariri wa Kampuni ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew (kulia), wakati akimkabidhi Miss Ilala 2013, Dorice Mollel.
"Nashukuru kwa msaada huu na naahidi kuufikisha kwa walengwa", na hivyo, ndivyo alivyoelekea kumweleza Mhariri wa Kampuni hiyo, ya Mkuki na Nyota, Godance Andrew (kulia), wakati akimkabidhi msaada huo.
Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Ukonga, Zaituni Ibrahim boksi lenye vitabu 132 kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo, Dar es Salaam jana, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani. Katikati wanaoshuhudia ni wanafunzi wa shule hiyo, Joshua Daudi (wa pili kushoto) na Ibrahim Adam. Miss Ilala 2013, Dorice Mollel alipewa msaada huo na Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota.
Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Ukonga, Zaituni Ibrahim boksi lenye vitabu 132 kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo, Dar es Salaam jana, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Watoto Duniani. Katikati wanaoshuhudia ni wanafunzi wa shule hiyo, Joshua Daudi (wa pili kushoto) na Ibrahim Adam. Miss Ilala 2013, Dorice Mollel, alipewa msaada huo na Kampuni ya kuchapisha vitabu ya Mkuki na Nyota.

Juu na chini: Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Ukonga, Zaituni Ibrahim, baadhi ya vitabu hivyo.

Juu na chini: Miss Ilala 2013, Dorice Mollel (kushoto), akimkabidhi Mwalimu wa Taaluma wa Shule ya Msingi Ukonga, Zaituni Ibrahim, baadhi ya vitabu hivyo.


Miss Ilala 2013, Dorice Mollel, akimkabidhi baadhi ya vitabu mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga, Joshua Daudi, ikiwa ni katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wtoto duniani, Dar es Salaam jana.  Wa pili kulia ni Mwalimu wa Taaluma wa shule hiyo, Zaituni Ibrahim na wa tatu ni mwafunzi Ibrahim Adam. Miss Ilala, alikabidhi vitabu 132 kwa shule hiyo.
Miss Ilala 2013, Dorice Mollel, akimkabidhi baadhi ya vitabu mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Ukonga, Ibrahim Adam, ikiwa ni katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wtoto Duniani, Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Mwalimu wa Taaluma wa shule hiyo, Zaituni Ibrahim na kulia ni mwafunzi Joshua Daudi. Miss Ilala 2013, alikabidhi vitabu 132 kwa shule hiyo.

No comments:

Post a Comment