Thursday, November 28, 2013

MtoaLock ft Ordinally-Nilivyomkuta Dar

Displaying mTOAlOCKoRDINALLY_wide.pngMtoaLock toka kundi la Last Warning akimshirikisha Ordinally aka Jogoo Kichaa toka JamboSquad katika ngoma afrofusion ya "Nilivyomkuta Dar" inayozungumzia namna kijana toka Arusha amebadilishwa mwenendo na maisha baada ya kutua Jiji la Dar Es Salaam,sikiliza/DownloadHAPA 

No comments:

Post a Comment