Wednesday, December 4, 2013

Mume na Mke wahitmu pamoja SAUT


Chrispine Mwashambwa na Mkewe Huruma Malema, wakiwa na nyuso za furaha muda mfupi baada ya kuhitimu masomo yao. Mwashambwa ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Mbeya, amehitimu Digrii (Masters), yake ya Sheria, wakati mkewe amehitimu Shahada ya Ualimu katika Chuo Kikuu cha SAUT jana.
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Mbeya, Chrispine Mwashambwana Mkewe Huruma Malema wakikata utepe muda mfupi wa kuhitihimu Digrii (Masters) ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augostino (SAUT), Mkewe amehitimu Shahada ya Uliamu katika chuo hicho.Walitunukiwa Digrii zao na Shahada katika mahafali ya kumi ya SAUT-Malimbe Mwanza yaliyofanyika chuoni hapo mwishoni mwa wiki iliyopita.
Chrispine Mwashambwa na Mkewe Huruma Malema wakiingia ukumbini kwa ajili ya sherehe za kuwapongeza baada ya kuhitimu na kutu.Mwashambwa na Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Mbeya wakati mkewe ni Mwalimu.Sherehe za kuwapongeza zilifanyika  kwenye ukumbi wa Double BB Mkolani jijini Mwanza. 
Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Mbeya,Chrispine Mwashambwa na Mkwewe Huruma Malema (Kulia) wakiwa na nyuso za furaha baada ya kutunukiwa Shahada ya Sheria (Masters) na Mkwe Shahada ya Ualimu kutoka Chuo Kikuu cha SAUT Malimbe Mwanza, mwishoni mwa wiki.Sherehe za kuwapongeza zilifanyika katika ukimbi wa Doble BB Mkolani Jijini hapa.
Chripine Mwashambwa (kushoto) na Mkewe Huruma malema, wakikata keki baada ya kuhitimu Digrii yake ya Shena mkewe Shahada ya Ualimu.Walinutunikiwa vyeti vyao katika mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha SAUT - Malimbe Mwanza. (Picha zote na Baltazar Mashaka)

No comments:

Post a Comment