Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,wakikata
utepe kuzindua barabara 5 za mradi zikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya- Mzambarauni,Karimu-Finya- Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,kwa
pamoja wakibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Bara bara 5 za
Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa
Mfuko wa Changamoto za Millenia wa Watu wa Marekani (MCC) hafla
iliyofanyika leo katika uwanja wa Gombani wilaya ya Chake chake Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Kitengo cha Changamoto za Milenia Tanzania Bw.Bernard S.Mchomvu,katika uzinduzi wa Mradi wa Barabara 5 zilizojengwa na Mfuko huo wa Mcc Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia Blaser,(kushoto)
wakipata maelezo ya ramani ya michoro ya
ujenzi kutoka kwa Mkurugenzi wa miradi ya Usafirishaji (MCA-T) Eng
Salum I.H.Sasillo,alipofika kuzindua Barabara 5 za Mradi Mkoa wa
Kaskazini Pemba zilizojengwa kwa udhamini wa Mfuko wa Mcc.
Barabara
ya Chwale-Likoni ni moja ya barabara zilizozinduliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein, ikiwa
tayari kwa matumizi ya wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba ambayo
imetengenezwa na Kampuni ya h.yang ltd ya nchini Kenya kwa udhamini wa Mfuko wa MCC. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Virginia Blaser alipowasili katika uzinduzi wa Barabara 5
za Mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo,barabara zilizozinduliwa
Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya- Mzambarauni,Karimu-Finya- Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein na
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi Virginia
Blaser,wakifuatana baada ya kufanya uzinduzi wa barabara 5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ikiwa ni Kipangani-Kangani,Chwale –Likoni,Mzambrauni Takao-Pandani,Finya- Mzambarauni,Karimu-Finya- Mapofu na Bahanasa –Daya Mtambwe,Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na wananchi katika shrerehe za Uzinduzi rasmi wa
barabara 5 za mradi katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto za Millenia MCC.
Wananchi
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba waliohudhuria katika sherehe maalum za
Uzinduzi wa Barabara 5 za Mradi,zilizojengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa
MCC,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,wakati alipowahutubia leo katika uwanja wa Gombani
Wilaya ya Chake Chake Pemba.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinuzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akizungumza na wananchi katika shererehe za Uzinduzi rasmi wa
barabara 5 za mradi katika Mkoa wa
Kaskazini Pemba,ambazo zimejengwa kwa ufadhili wa Mfuko wa Changamoto
za Millenia MCC.(kulia) Kaimu Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bibi
Virginia Blaser,na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Rashid Suleiman.
No comments:
Post a Comment