Mkurugenzi wa Fadhila FM Redio, Edwin Mpokasye akiwakaribisha washiriki katika ufunguzi wa warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.
Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Bi. Farida Mgomi, akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya Maadili na kuandika Habari za Jinsia na Migogoro kwa waandishi wa habari wa Redio za Jamii iliyofanyika Masasi mkoani Mtwara.
Picha ya pamoja ya washiriki wa warsha pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Masasi, Bi Farida Mgomi (wa pili kulia).
No comments:
Post a Comment