Tuesday, May 27, 2014

MIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI

Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA)Paschal Shelutete akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki kongmano jijini Mwanza.
Mkurugenzi wa Utalii na Masoko wa Shirika la Hiadhi za Taifa(TANAPA) Ibrahim Mussa akitoa ufafanuzi kwa Wahariri wa habaro toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wanaoshiriki Kongamano jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Majadiliano katika kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya Habari nchini Dk Ayoub Rioba akizungumza jambo katika Kongamano hilo.
Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiwasilisha mada kwa Wahariri wa Habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini katika kongamano linalofanyika jijini Mwanza.
Washereheshaji wa shughuli mbalimbali katika kongamano la Wahariri wa habari ,Peter Mavunde na Sauda Simba Kilumanga wakitizama ratiba ili kuhakikisha mambo yote yanaenda sawa katika kongamano hilo.
Meneja Ujirani Mwema wa TANAPA Ahmed Mbugi akiteta jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Maimuna Tarishi katika Kongamano hilo.
Baadhi ya Wahariri wakiwa wamegawanyika katika makundi mbalimbali kwa lengo la kufanya mijadala kabla ya kufanya uwasilishaji.
Baadhi ya Wahariri wa Habari walikuwa Live kuhakikisha kile kinachozungumzwa ukumbini hapo kinawafikia wananchi kupitia vyombo mbalimbali vya habari.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania(TANAPA)Allan Kijazi akizungumza na Wahariri wa habari katika Kongamano hilo. 
Picha na habari na  Dixon Busagaga 
wa Globu ya Jamii aliyeko jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment