Saturday, May 10, 2014

Miyeyusho, Mohamed Matumla wapima uzito tayari kwa mpambano wao PTA



Mabondia Fransic Miyeyusho (kushoto) na Mohamed Matumla wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao, utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A, Sabasaba jijini Dar es Salaam, siku ya Jumamosi, May 10. (Picha zote na superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Mohamed Matumla akipima uzito.

No comments:

Post a Comment