Sunday, May 4, 2014

Rais Shein azindua Kongamano la Ajira kwa vijana Bwawani Hotel, Zanzibar


 Baadhi ya washiriki katika Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa Vijana wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa  akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa kongamano hilo leo, ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa  akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa kongamano hilo leo, ukumbi wa Salama Bwawani Hotel, Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein (kulia), akizungumza wakati alipokuwa akifungua kongamano la siku mbili la Kitaifa la Ajira kwa Vijana katika ukumbi Salama, Bwawani Hotel, Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein. (Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu)

No comments:

Post a Comment