Rais Vladimir Putin na maafisa wa jeshi la Crimea
Rais wa Urusi Vladmir Putin amewasili Sevastopol katika jimbo la Crimea lililojitenga majuzi kutoka Ukraine.
Awali katika guaride la heshma ya wapiganaji wanajeshi walioishinda jeshi la Ujerumani katika vita vya pili vya dunia Putin, aliusifu uzalendo wa majeshi ya Urusi na moyo wao wa kijitolea kwa uhuru wa taifa lao.
Rais Vladimir Putin na maafisa wa jeshi la Crimea
No comments:
Post a Comment