Thursday, June 12, 2014

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER - Rodgers Israel Nelson Kivuyo

 Kupitia account yake ya facebook blogger wa Jijini Arusha Rodgers
Israel amesheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuandika ujumbe huu kwa
watu wote

Tarehe 10th June ndio siku ambayo Mungu alipenda mimi kuja duniani.
Namshukuru sana Mungu kwa kuiona siku ya leo na Tarehe hii ya leo,
Glory Be To God.

Pia nawashukuru wazazi wangu Mr & Mrs Israel Nelson, Mama Rest In
Peace natamani ungekuwepo leo umuone mwanao na ujivunie jinsi alivyo.

Displaying DSCF5652 - Copy.JPGNawashukuru sana dada zangu Rose Israel na Rhoda kwa kuwa name since
mdogo hadi leo hii, tumepitia mazuri na mabaya pamoja, magumu na
marahisi nashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia Moyo pamoja na
kunisaidia pale nilipo kwama, Much love aisee kwenu.

Niwashukuru Pia marafiki zangu wote ni wengi sana siwezi kuwataja wote
lakini zaidi sana watu ninaofanya nao kazi Sophia Kifaru na Delvin
Ezrom aisee nyie ni sweet best friends much love kwenu aisee bila
kumsahau Baraka Sunga.

Nawashukuru pia watu wote marafiki Catrina Ricardo, Esupat Samson
ndugu, jamaa, jamii na watu wote ambao wanasupport kile ninachokifanya
Mungu awabariki sana.

Tuoneshane upendo wa kweli angali tu hai, tusioneshane upendo wa
kinafki wakati tumeshatoweka duniani.

Happy Birthday to Me

Nawapenda sana.

#MaasaiBoy

Nawaomba Muendelee kutembelea blog yenu ya www.nellykivuyo.blogspot.com

Mpe pongezi kwa kucomment hapa chini

No comments:

Post a Comment