Kwa buku mbili tu za kitanzania Karibu kiwanja cha Via Via Jumamosi hii
tarehe 7 mwezi wa sita mwaka 2014, saa sita mchana hadi moja jioni
kujipatia burudani ya muziki toka kwa Vatoloco soldiers,
JohnRodgers,Xtra talent, Mafaya Faya, Ima B & Flaxman, BadSpenders,
Machiz Flani, Mwaka Mzima, Son, Jambo culture, Mr Right, Son B, Adorabo
na wengine kibao powered by www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment