Thursday, June 12, 2014

PICHA MBALI MBALI ZA TAMASHA LA MUZIKI PAZA SAUTI LILILOFANYIKA VIWANJA VYA VIA VIA


 DX WA PILI KUSHOTO NAE ALISHOW LOVE PIA ALIDHAMINI TAMASHA  HILI
  WATANGAZAJI WA MJ FM
 WATANGAZAJI WA MJ FM


 TARATIBU BWANA
 DJ HAAZU KUSHOTO NA DJ LUKAS  A.K.A BAUNSA
 DAVIZONA MKALI WA  WA KUKATA VIUNO
 WATUNDU SQUARED

 MMMM MAIGIZO NAYO SI UNAJUA TENA
 MMM KULIPENDEZA KIASI CHAKE WATU WALIKUWEPO
 MASHABIKI WAKIFUATILIA KWA MAKINI
 BALANCE DIET KUSHOTO NI JOMRI NA ANAEFUATA NI PRODUCER WILL

 KISAUTI
 MR RIGHT


 BILIHUDA MSANGI WA MJ FM NA MTANGAZJI MWENZAKE WALIKUWEPO
 JOHN RODGERS NAE ALIWAKAMATA
MWAKA AKIFANYA YAKE

No comments:

Post a Comment