UNIVERSAL
AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na Ubalozi wa Canada & BGP
International Tanzania Limited watauza kwa mnada wa hadhara Magari & Fanicha za Ofisi na nyumbani tarehe
7 Juni, 2014 Jumamosi saa 4.00 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Lion Street.
MALI
ZITAKAZOUZWA:Sofa sets, Chest drawer, Recliner, Dressers, Garden
chairs, Coffee table, Book
shelve, Meza za ofisi/viti, File cabinets, Vitanda ,Magodoro, Fridges, Freezer,
Cookers, TV set, Washer, Dryer, Computer set, Photocopy m/c, A/c split units Etc.
MAGARI YATAKAYOUZWA:
Idadi
|
Aina
|
Model
|
Mwaka
|
Ushuru
|
5
|
Isuzu P/Up Double cabin
|
4JB1 Diesel
engine, 4 Wheel drive
|
2006
|
Bado
|
1
|
Toyota Rav4
|
S/Wagon Petrol engine, 4 Wheel drive
|
1999
|
Tayari
|
1
|
Toyota mark11
|
GX81 Petrol engine
|
1988
|
Tayari
|
1
|
Bajaji Tricycle
|
TVS 4 stroke
|
2010
|
Bado
|
1
|
Suzuki Escudo
|
Petrol engine, 3 door.
|
1993
|
Tayari
|
Mali zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion
Street tarehe 5 na 6 Juni, 2014 kuanzia
saa 4.00. asubuhi mpaka saa 10.00 jioni.
MASHARTI YA
MNADA:
- Mnunuzi wa fanicha atatakiwa kulipa malipo yote pale pale. Na mnunuzi wa Gari atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 7 ukishindwa kulipa kwa muda huo gari litauzwa tena na dhamana haitarudishwa.
- Mali zote zitauzwa kama zilivyo.
- Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru.
- Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa siku hiyo hiyo baada ya kulipia malipo yote pamoja na ushuru
Kwa maelezo
zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE
NKRUMAH
STREET MKABALA NA
CO-CABS
SIMU NA: 0754-284
926, 0757 284 926 Email :
universalauction@hotamail.com
DAR ES SALAAM.
No comments:
Post a Comment