Friday, July 25, 2014

Maandamano yazuka Palestina


polisi wakabiliana na raia Palestina
Maandamano makubwa yamefanyika katika ukingo wa Magharibi mwa Palestina karibu na mpaka wake na Israel kupinga mashambulio yanayofanywa na Israel.
Waandamanaji hao wakiwa na hasira wakiwa Gaza walipambana na vikosi vya usalama vya Israel.
Hata hivyo mapambano makubwa dhidi ya vikosi vya usalama ilikuwa katika eneo la Qalandia katika mpaka wa Ramallah and Jerusalem.
Raia mmoja wa Palestinian ameuawa katika maandamano hayo huku wengine kadhaa wakijeruhiwa .
Takriban wapaelestina 800 wameuawa tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel huko Gaza mapema mwezi huu.

No comments:

Post a Comment