Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kuhusu kukanusha taarifa zisizo za kweli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu ameundiwa zengwe na bodi ya Wakurugenzi wa shirika hilo ili asirejee kwenye wadhifa huo. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa NHC makao makuu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Manunuzi, Hamis Mpinda na kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii.
Baadhi wa waandishi wa habari wakimsilikiza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC), David Shambwe (hayupo pichani ), wakati akizungumza na waandishi wa habari jana, kuhusu kukanusha taarifa zisizo za kweli kuwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu ameundiwa zengwe na bodi ya wakurugenzi wa shirika hilo ili asirejee kwenye wadhifa huo. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa mikutano wa NHC, Makao Makuu jijini Dares Salaam. (Picha zote na Magreth Kinabo – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment